Family Car Needed

Family Car Needed

losi

Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
16
Reaction score
5
Wataalam wa Magari, Jf.
Naombeni ushauri wenu kuhusu convinient Family Car. Nataka gari ya familia ya watu 7,,, itakayokithi mahitaji yangu. Nimekuwa nikifuatilia magari haya, Gaia, Picnic na Ipsum. Naombeni ushauri kati ya hizo,,,au na nyingine ambayo sijaitaja,,,,ipi ni bora na yenye matumizi madoko ya mafuta na upatikanaji wa spea, pamoja na service. Je bei zake show room zikoje?, Natanguliza shukrani
 
Mkuu,
Kwa gari ya familia, jitahidi upate kuanzia yenye engine size 1.8L maana itakua na nguvu zaidi. Usitafute engine ndogo itakua inachemka sana mkiwa watu 6 au 7 kwenye gari. Pia angalia na Horse power, iwe atleast 150hp ili iwe ina nguvu zaidi, usichukue hizi ndogo zenye less than 1.5L coz engine zake utakuta zinatoa power ndogo ata less than 120hp.

Gari ulizotaja ni nzuri as long as ni Toyota, pia kuna Toyota Alphard, Noah na Wish, unaweza choose kimoja wapo nayo ni mazuri.

Hizo gari zote kwa showroom za hapa ni kuanzia 12 hadi 15 hapo kati, chagua moja lolote tuliangalie vizuri. Yaangalie na mwaka utakaotaka maana yapo mengi kaka.
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri kaka,,,ntaufanyia kazii
 
Back
Top Bottom