Mkuu,
Kwa gari ya familia, jitahidi upate kuanzia yenye engine size 1.8L maana itakua na nguvu zaidi. Usitafute engine ndogo itakua inachemka sana mkiwa watu 6 au 7 kwenye gari. Pia angalia na Horse power, iwe atleast 150hp ili iwe ina nguvu zaidi, usichukue hizi ndogo zenye less than 1.5L coz engine zake utakuta zinatoa power ndogo ata less than 120hp.
Gari ulizotaja ni nzuri as long as ni Toyota, pia kuna Toyota Alphard, Noah na Wish, unaweza choose kimoja wapo nayo ni mazuri.
Hizo gari zote kwa showroom za hapa ni kuanzia 12 hadi 15 hapo kati, chagua moja lolote tuliangalie vizuri. Yaangalie na mwaka utakaotaka maana yapo mengi kaka.