Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden

Wewe umeongea but wapo wanaojaribu kufanya kinyume Na uliyosema. Tena wewe umeongea Tu Wao wanafanya kwa vitendo kinyume chake, watashindwa vibaya!
Kuna wengine ata wafanye vizuri kiasi gani wataambulia kebehi tu... Tz sijui nani atusaidie ss jamani.. Tunapenda kuridhika haraka bila kuangalia future
 
kwel huyu Tiffah amenizidi kuruka abroad more than me..
SALUTE kwao..!!!![emoji61]
Unasema tiffa wakati kaziwa kwenye Neema... Vp bb tiffa.... Yy ndo anazidi kumtukuza Mungu wake kwa neema cse sidhani kama apo nyuma aliwahi kuota.....apo tu ndo namsifu uyo kaka... anamjali mamake mpaka basi
 
Team Kibajokatewema utawjua.tuuu
.Wivuu sinaaa INA rohoooo inaumaaa eeeeeeeeeh..
.Tuliaaa.ivyooo ivyooo sindano Ikupenetrate well.
Ivi maadui wa diamond ni tm kiba tu?!?! Acha majungu ww...ngoja waje kupatana sijui utaongea nn.
 
Huyu ndo yule anae mnyooshaga yule dogo wakujiita kibo?!
 
dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
teh teh teh tena wengine wamesoma na madegree yao hata ndege hawajawahi kupanda nimecheka sana aisee
 
Watachomwa mbinguni,yaani huyo bibi ametelekeza familia yake kabisa,unadhani wale watoto wengine wakiona hayo hawatamani jamani,ilitakiwa nao wakaenjoy huko.
Wale watoto hawana shida mkuu, hata hapo walipo panatosha
 
Paws?!! sio paka yule ni binadamu, chuki yako ndio ume ificha kwenye gloves za mtoto,haya
 
Paws?!! sio paka yule ni binadamu, chuki yako ndio ume ificha kwenye gloves za mtoto,haya

Haya, hebu punguza ujinga wako!

Paw:

2. (informal) a person’s hand.
Eg. Take your filthy paws off me!
Source

Safari ijayo usipende kukosoa mambo usiyoyajua.
 
H
Haya, hebu punguza ujinga wako!

Paw:

2. (informal) a person’s hand.
Eg. Take your filthy paws off me!
Source

Safari ijayo usipende kukosoa mambo usiyoyajua.
Hakuna cha safari ijayo wala irudio Hebu ujifanye kuwa una akili kidogo tu, japo inaelekea ni kinyume chake, tafsiri ya paw ni: ANIMAL FOOT HAVING CLAWS AND PADS, BINADAMU GANI ANAVYO HIVYO LABDA WEWE
 
H

Hakuna cha safari ijayo wala irudio Hebu ujifanye kuwa una akili kidogo tu, japo inaelekea ni kinyume chake, tafsiri ya paw ni: ANIMAL FOOT HAVING CLAWS AND PADS, BINADAMU GANI ANAVYO HIVYO LABDA WEWE

Hahahahaaaaa daaaaah!

Kumbe hata kusoma na kuelewa hujui!

Nimekuwekea fasili na nikakupa na chanzo lakini wapi.

Kaaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…