Family Crush!Diamond Platnumz,Zarithebosslady and Baby Tiffah in Sweden

Hili jukwaa ni full vituko unaweza kucheka ghafla hadi watu wakakushangaa.
 
Facade, I love this word.You seem to notice something quickly....façade=fake smile.Just thinking loudly.
 
dah ka baby tiffa kadogo lakini kamesafiri ulaya wengine humu hata nairobi bila bila kwa umri wa uzee sasa
Na u PhD wako wote boda ya namanga unaiskia tu,but mtto hata kuongea hajui ila katoboa ma nchi kibao....daah dunia haiko fea hata kidogo...
 
Watachomwa mbinguni,yaani huyo bibi ametelekeza familia yake kabisa,unadhani wale watoto wengine wakiona hayo hawatamani jamani,ilitakiwa nao wakaenjoy huko.
PAGAN wale watoto wa zari na wao wapo ibiza spain n baba yao holiday pia
 
Hao watoto wengine wapo ibiza spain n baba yao wanakula holiday pia
Familia za mafungu.

Maana ya familia ni kuwa pamoja, hususan utotoni.

Otherwise, family has little to no point.
 
Mungu akikupa amekupa.hauna degree,masters wala phd lakini unatesa dunia .hongera zako
Mambo ya elimu yalikua zamani mkuu, siku hizi ukiwa na elimu pasipo kuchakarika na ujasiriamali hutokimo ng'oo utaishia kubadilisha mboga na mashati tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…