Family Marriages VS Love Marriages: Which is which?!


Its what you make out of the marriage whatever it is. Kuna saying my Religion is a matter solely between my creator and myself. Relating to this Marriage is between a man and a woman and them making it work.

Ndoa ngapi za St Joseph au St Peters kwa mfano zimevunjika? Askofu upo?
 
Hujui raha ya kondoo aliye nona? Mkia wake unakuwa umejaa mafuta na mafuta yale ni tosha kwa chakula.

Mkia wa kondoo umenona kweli! Raha yake wakati unamchunga kondoo mkia unauangalia kwa nyuma unavoyumbayumba!
 
safi sana Sashay, ijapokuwa hujapiga hodi rasmi mi nakukaribisha hapa kwen jukwaa letu la MMU. Unatumia kinywaji gani?

Asante sana Kaizer, samahani sana kwa kuingia bila hodiiii nilikuwa na kumbukia enzi hizo nilipokuwa mtoto nikienda kwa mama fulani jirani yetu naiingia tuu wanaishia kusema ooh mtoto mzuri karibu. Kuhusu kinywaji nitafurahi ukinipatia Sprite baridiii.
 

Hapo umepotea njia. Huyo binadamu ana aleji ya kununua kinywaji ambacho ni non alcoholic. Ungeomba Ndovu, ungeshapata PM ya ofa!
 

Usijali sana sahay karibu, kinywaji hicho umepata bila shaka...weitaa hebu tengeneza sprite na barafu fasta na kamrija tumkaribishe mgeni

Usimsikilize Chrispin, mi huwa nampe mtu anachopenda wajameni sio alcoholic tu..sema ingekuwa YEYE nisingenunua!

Kuna ka button ka thanks naona bado hujakajulia hebu kagonge.

Karibu sana
 
Hapo umepotea njia. Huyo binadamu ana aleji ya kununua kinywaji ambacho ni non alcoholic. Ungeomba Ndovu, ungeshapata PM ya ofa!

Homeboy umeangalia maslahi lakini?πŸ˜€
 

Homeboy Sprite ni soda au juisi? Hahaha! Sikumbuki hii kitu nimenywa lini!
 
Geoff.........japo nimechelewa kuchangia lakini ningependa kukupa new model ya hizi ndoa ambazo ni fusion ya ya zamani na ya sasa ( nahisi ingelifaa zaidi kutumiwa na makabila mengi zaidi)

mwanamme akitaka kuoa, anawaambia wazee wake (old model)
wazee wanachunguza tabia za wasichana kadhaa wenye kuelewana kifamilia (old model)
kisha wazee wanamtajia mtoto wao waliompenda katika hao wasichana (old model)

kabla ya kuzungumza na wazee wa upande wa msichana

mwanamme muoaji anazungumza nae mwanamke mwenyewe, au niseme anamtongoza bila ya kumwambia kuwa amepitishwa na wazee kwanza (new model)

mwanamke akikubali au niseme akipendana nae (new model)

wazee wa mwanamme wanazungumza na wazee wa msichana ( old model)

ndoa inafungwa πŸ˜€

msichana akitongozwa akikataa (new model), mwanamme anarudi tena kwa wazee wake na kupewa jina la msichana mwengine na circle linajirudia kaa hapo juu


nafikiri hii ni system nzuri sana ambayo kwa nafsi yangu ningependelea zaidi since ina retain zile good parts za ndoa za aina zote mbili

N:B am talking from my own experience
 
sawa ndugu gaijin...!ndoa yako ni successful kwa vyovyote.
na ushauri wako nimeupenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…