Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
sasa sredi hamuitendei haki....:d
Ok Bwana harusi. Mi bado nadhani hizi ndoa unazoziita za kiwestern ndo zinafaa kwa sababu unachagua mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yoyote kuoa/kuolewa. lakini ile ya kupangiana mume/mke haijatulia na hata kama zinadumu ni kwa kuwa watu wanaogopa tu jamii itasemaje tukiachana, wazazi walishachukua mahari itakuwaje, and so on, lakini zina matatizo mengi tu sema level ya uvumilivu ndo inayoziweka zidumu na si kwa sababu ingine ila kuigopa jamii itasemaje.
lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...πOk Bwana harusi. Mi bado nadhani hizi ndoa unazoziita za kiwestern ndo zinafaa kwa sababu unachagua mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yoyote kuoa/kuolewa. lakini ile ya kupangiana mume/mke haijatulia na hata kama zinadumu ni kwa kuwa watu wanaogopa tu jamii itasemaje tukiachana, wazazi walishachukua mahari itakuwaje, and so on, lakini zina matatizo mengi tu sema level ya uvumilivu ndo inayoziweka zidumu na si kwa sababu ingine ila kuigopa jamii itasemaje.
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!
-wewe ni mtu wa kunipinga tu!baadae utasema ''ndoa yako ni changa mno kuyajadili haya'' i know you banaπ
unajua CHAKU!...mapenzi sijajifunzia jf.hapa tunajadili,tunashea mawazo na kuwekana sawa.keypad haziwezi teteresha ndoa yangu bana,lol!TURUDI KWENYE MADA MZEE MWENZANGU...!achana na objectives na sijui nin,we changia hojawenzako wameelewasredi inatendewa haki ila waku na wanachama wanaogoma matokeo ya mjadala huu unaweza kuwa msumari kwa ndoa changa kama yako japo umeshaoa siku nyingi na kuhalarisha na kama siyo kubariki tarehe 13 februari makambako!
Ebu tupe objective ya maada hii tafadhali!!!!!!!!
nimeshangaa tu binamu, si unajua maana ya mafanikio makubwa ya honemoon? Kijana anatisha!
lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...π
hehehehehehe!hapo kwenye bold hapo,lolHahaha! Kale ka kwangu nilijichagulia mwenyewe.
By the time nimekolea sasa nataka nikakaintrodyuzi kwa wazee, Matesha alikuwa kwa tumbo tayari!
Then tukakamata baraka za wazee.
Afu Mwenyezi Mungu akaaprovu seleksheni yangu. Akagonga muhuri.
Tangu siku hiyo najilia vyangu kitakatifu!
Sijawahi kujuta. Akchuale huwa nashangaa kwanini nilichelewa kukaoa.
Ni kazuri na katamu kwelikweli! Kanajali na kunipenda mpaka najionea wivu!
ya kwangu ni LOVE MARRIAGE...!
-wewe ni mtu wa kunipinga tu!baadae utasema ''ndoa yako ni changa mno kuyajadili haya'' i know you banaπ
we haya tu!ukiendelea nitarusha picha niliyokupiga capetownbora umejua hayo mapema, kila kitu kina authority bana
Mfano kwenye nmambo ya CCM na NEC authority hapa ni mkulu FMES,
Kiblurey hapa authority ni Blueray (Sijui kenda wapi)
Precision na precise authority ni Companero,
Kula chakula na kuosha sahani au kutokuosha pamoja na 'kainzi' authority ni MM Mwanakijiji,
Kulivua pendo na yaambatanayo authority ni MJ1
Tigo na kujiexpress ni mkulu Fidel80
Mambo ya chawote, Zero pub mdudu, etc authority ni Xpin
G clef na F clef authority ni mimi.
sasa kwenye hili bado hujawa authority manake we wa juzi tu! mwaga hoja hapa......ππ ila una authority kwenye mengine tu sio hili bana
hehehehehehe!hapo kwenye bold hapo,lol
hivi wewe ndoa yako ni love,au family?...jst curious 2 knw itπ
Afadhali uwe na mume aliyekutongoza mwenyewe ukamsikia jinsi anavyojikanyaga hadi umkubali, lakini wa kupewa unaweza siku akatoa dongo, mie wewe hata sijakupenda ila tu wazazi wali insist. lol! shurti utongozwe bana!Hehehe! Raha na tamu ya ndoa Mke Umtongoze mwenyewe, akukubalie!
Raha na tamu ya ndoa mke atongozwe na mumewe!
Unasemaje hapo mamaa wa kutongozana? Hahaha!
sredi hii haijatendewa haki!....nimeonewa sana,nimenyanyaswa sana na sredi hii,na kwakweli sijatendewa haki...!NAJUA TATIZO NI HII HANEMUNIπ
kama matatizo yapo kwenye ndoa zote mbili, ishu ni vipi unadeal na tatizo lenyewe. wale ni wavumilivu na watu wengi wa sasa uvumilivu hatuna, life is too short to spend it unhappy ndo maana kuna breakups.lakini hizi ndoa inaonekana zina matatizo makubwa!au ni kwamba watu wanashindwa kuchagua?kwanin wasiige kwangu na kwa x-pin na kwa kaizer na kwako namna ya kuchagua???...π