more ethical!kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.
TUFANYE NINI SASA?...mj1 ameeleza vizuri.mimi kueleza kwa ungwine siwezi,labda kwa formula.lakini mj1 nimemkubali amenielewa mapema zaidi.kaizer..HAJANIELEWAπ
Ngoja nifwatilie mtiririko wa homeboi wangu Kaizer.....:Z!
Mi bwana sina haja ya kutiririka. Mi napendelea ndoa za kutongozana wenyewe kwa wenyewe. Yakiwashinda hauna wa kumlalamikia. Hapo ndipo ile dhana ya KUDUMISHA MILA kabla ya kuoana inapoplay part kubwa! Lakini ile ya kutafutiwa................... Hapana kwakweli. Mtanisamehe!
kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.
TUFANYE NINI SASA?...mj1 ameeleza vizuri.mimi kueleza kwa ungwine siwezi,labda kwa formula.lakini mj1 nimemkubali amenielewa mapema zaidi.kaizer..HAJANIELEWAπ
kilichokuwa kinafanyika ni tathmini tu mzee mwenzangu!kwa maisha ya sasa arranged marriages haziwezi kuwa into application.ni maeneo machache sana.hoja hapa ni kwamba hizi family marrieges zimeonekana kuwa successful kwa kipindi chake ukilinganisha na hizi ndoa za mapenzi.ndoa za mapenzi zimeleta na zinaendelea kuleta matatizo makubwa sana.
TUFANYE NINI SASA?...mj1 ameeleza vizuri.mimi kueleza kwa ungwine siwezi,labda kwa formula.lakini mj1 nimemkubali amenielewa mapema zaidi.kaizer..HAJANIELEWAπ
dah...mi narudia tena kusoma mwanzoni nione kama yenyewe inahitaji kueleweka ama hata yenyewe (mada) haielewekiππ
Marriage as aninstitution has been subject to changes in temporal and spatial dimensions-in any given society. We cannot blame ourselves for this....as it is just a natural process of change. we can modify the changes, but we cannot stop them.
As for our society, we are praising the traditional/arranged marriages of the past (of which some few tribes still uphold them) while, at the same time, playing down the un-equal sharing of the marriages' costs and benefits. While, in many occasions the MAN assumes a dominant role, the WOMAN is usually the subject of prejudice, hard work and little respect from the MAN's family-given the hefty dowry paid.
On the contrary, 'modern' marriages would involve a voluntary unione of a man and woman to live as husban and wife with minimum external influence, be if from parents or friends/relatives.
There is no evidence that if the past society with the traditional marriages was expesoed to the current level of development and technology, the same wouldn't have occured.(i.e the alleged cheating and mistrust in modern marriages)
Therefore, I would say that while we are craving for the past marriages, it is important that we understand the changes that have occurred over time and the consequences of the changes. More importantly we should embrace the basic ingredients of any relationship: LOVE, TRUST, and RESPECT. No marriage would fall if these three are present.
Homeboy hivi ulinambiaga ulizaliwa Birmingham au London?
hahahahahahah...nimecheka hadi sina mbavu homeboy! kha..ngoja hapo sicomment. weekend hii naona patachimbika!ππ
Hahaha! Wale parasaits wamesha rest in peace?
nimewarestisha! pamoja na sala za mchumba na mamushka! wakashindwa!
sasa geoff naona anatuchokoza tu hapa ili mradi tuseme..wino si utaisha bana!
hehehe!ki-blurei in the makingdah...mi narudia tena kusoma mwanzoni nione kama yenyewe inahitaji kueleweka ama hata yenyewe (mada) haielewekiππ
Marriage as aninstitution has been subject to changes in temporal and spatial dimensions-in any given society. We cannot blame ourselves for this....as it is just a natural process of change. we can modify the changes, but we cannot stop them.
As for our society, we are praising the traditional/arranged marriages of the past (of which some few tribes still uphold them) while, at the same time, playing down the un-equal sharing of the marriages' costs and benefits. While, in many occasions the MAN assumes a dominant role, the WOMAN is usually the subject of prejudice, hard work and little respect from the MAN's family-given the hefty dowry paid.
On the contrary, 'modern' marriages would involve a voluntary unione of a man and woman to live as husban and wife with minimum external influence, be if from parents or friends/relatives.
There is no evidence that if the past society with the traditional marriages was expesoed to the current level of development and technology, the same wouldn't have occured.(i.e the alleged cheating and mistrust in modern marriages)
Therefore, I would say that while we are craving for the past marriages, it is important that we understand the changes that have occurred over time and the consequences of the changes. More importantly we should embrace the basic ingredients of any relationship: LOVE, TRUST, and RESPECT. No marriage would fall if these three are present.
Hahaha! Huyu kijana bana! Anaondoa gari na gia namba nne!
hahahaha,nilijua tu lazima nifesi opozisheni.hata ODM walefesi the same constrain,lol
.....ππ
si tupo kitonga sasa?unataka nitembelee ngapi?
hahahaha,nilijua tu lazima nifesi opozisheni.hata ODM walefesi the same constrain,lol
ki-blurei zen,makala kama za karugendo,lol!nisamaraizie nijibu mpendwa
Mimi nimesusa kabisa hii mada- ilikuwa mada nzuri sana yaani sana tu mmeiharibu!!
Waone vile na nywele zenu ka za fidodido
Isipokuwa bwana Mpenzi wangu xpin!!