Famous Business Failures of Successful Entrepreneurs


Ubarikiwe kwa kufafanua zaidi. Lengo langu ilikuwa hasa kuamsha mjadala juu ya 'vision and mission'. Ni wanaofikiri 'Kiwendawazimu' hasa, ambao hufanikiwa. Hiyo picha iliyo kichwani mwa mtu hakika hakuna mtu mwingine anayeiona exactly kama huyo mmiliki ama mtengenezaji wa picha hiyo.
Katika mojawapo ya maandiko yake, Edson anasema aliulizwa swali "What is electricity and how does it look like?" Akatoa jibu fupi tu, "I don't know, but try it and you will see"
Nakubali kwamba 'Quiters Never Win'. What matters is persistence.
 

Asante kwa ushauri wako mzuri. Nimeshakibeba kitabu hicho kutoka HAPA, nimeprint, nitakisoma weekend hii yote. Umefanya jambo la maana sana kutupatia elimu ya ujasiriamali. Hii ndio hasa kazi ya JF, information sharing.

 

True kabisa kuna walio kufa ili kufanikisha uvumbuzi wao, kuna story moja nilisoma inamhusu mjerumani mmoja aliye kuwa anatest ndege yake alipanda kwenye mlima mrefu ili baadae ajiachie na hiyo ndege yake na bahati mbaya alianguka na kuvunjika vunjika na kufa muda mfupi baada ya kupelekwa hospitalin
 
Ni vema umerejesha thread hii, kwani naamini inajenga uimara wa mtu kuheshimu na kuvumilia kwa kupambana na changamoto zote zinazorudisha nyuma mafanikio ya MISSION aliyonayo mtu akilini mwake.
 

true kabisa,
 
Thanks for sharing this useful info regarding business men.It inspires me a lot and teach that,success behind in efforts.But the need is to try for the target.

[TABLE="width: 329"]
[TR]
[TD="class: xl66, width: 329"]work permit canada
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kingkong kwa nini usiulize quotations za mengi au bakhresa ambao ndo wanaweza kuwa mabilionea,riz one sio bilionea.ndo maana komandoo ameona unaleta mzaha,sababu hao alioweka rekodi zao ni mabilionea kwa viwango vya dola..kwa tz ambao labda wanaweza wakawa mabilionea kwa viwango vya dola ya marekani ni mengi na bakhresa.
 
i
Hao unao wataja hata wao bado wana usiri mkubwa sana kwenye biashara zao, hawajafunguka zaidi jinsi walivyo pata mtaji na kazalika
 
Am soooooooooooooooo sooooo so much incouraged, inspired.
Thank you so much aisee.
 
Wakuu nilitaka kujua ni wangapi wamehamasika na hii thread na wamechua hatua,
 
nimekutana na watu wengi, wanako inspired na story kama hizi lakini hawachukui hatua au bado kuna hofu. my advise is, START! hata kufwatilia mambo ya ujasirimali utashangaa umeshaanza.

- tafuta kutafuta (research capital kiasi ganni inajitajika) a
- anza ku save fedha za hiyo capital
- andika plan, download business planner template anza kuijaza
- soma mtandaoni mambo kuhusu hizo biashara na watu waliozifanya ili ujue challenges

usiwe na mentality ya "employee", usitegee mshahara wako kuendesha maisha, usiwe mtu wa kuhesabisha siku mpaka mwisho wa mwezi, usiwe mtu mwenye furaha wiki kila wiki mbili za mwanzo wa mwezi. chagua uwe permanent mwenye furaha au huzuni bila kuhesabu siku.
 

That is the Poit mkuu, Kuchukua hatua ndo Ugonjwa mkubwa kabisa, Woga wa Kuchukua hatua ndo Tatizo kuu, mtu anaona Kuachia Mshahara wa mwisho wa mwezi ni Vigumu, Kuacha Marupurupu ni ngumu sana, Alisha zoea kufuatwa na Gari la Offisi, Alisha zoea AC za ofisini, alisha zoea Perdiem,

Ni kweli kwamba Biashara si lele mama na inahitaji kujitoa Mhanga kikweli kweli, inahitaji Kuchoma Meli Moto, na hii ndo suluhisho pekee,

Na mtu asikudanganye kwamba Kusoma Vitabu sijui vya wakina Rich Dad, kuhudhuria semina za Ujasirimali na kazalika ndo zitakazo kufanya uanze biashara, Kuingia kwenye Ujasirimal hutoka Moyoni mwa mtu mwenyewe na hakuna elimu ya kukufanya uwe hivyo


 
"Many of life's failures are people who did not realize how close they were to success when they gave up." – Thomas Edison

 
You could have a million ideas, but they're all worthless if you don't get them done." – Lauren Amarante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…