Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Ha ha ha haMkuu joverest unaitwa huku
Hellow Fellas .
Nitumiie neno Wakuu kama Jina lenye heshima JamiiForums, mpo poa wote.
Tunatambua wote wako Mafemous wa JamiiForum njooni hapa tusemazane na mafunns wote mnakaribishwa.
Ni nafasi yako ya kutete na celebu wa JF.
Hata mimi ni Celebrity JF jamani msinisahau. (Self boost).
Mshana Jr uje hapa na wenzanko.
Hata mimi....Mi napita tu
Wameenda wap .Enzi hizo 2015 fever walikuwepo wakina Lizaboni, Simiyu Yetu, Ocampo Four, Minyoo, Agwambo, Hotlady, Chabruma etc
Aisee ilikuwa hota sana.
Teh kwa mwaka aliojiunga humu yeye ndiye alipaswa akukaribisheWewe ni famous ? Famous wa jukwaa gani mana ndo leo nakuona JF.
Karibu mgeni