Wadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama kununua kompresa mpya, Bei tutaongea, Tuwasiliane 0715770961
Angalia picha ya ninachotaka
Angalia picha ya ninachotaka