jWadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama kununua kompresa mpya,Bei tutaongea,Tuwasiliane 0715770961
Angalia picha ya ninachotaka
Wadau nina nissan caravan 3D inashida ya ile puller inayokaa kwenye kompresa kuvuta fen belt ya njia sita kama kuna mtu ana kompresa iliyokufa anipatie hyo pull ntafurahi sana nisiingie garama kununua kompresa mpya,Bei tutaongea,Tuwasiliane 0715770961
Angalia picha ya ninachotaka
Hapana mtaalamu nimejaribu kuangalia no naona imefitika haionekani poa nikaona labda picha naweza pata msaada,Kama unajua kitu kidogo hapo nishauriMkuu kwanini tumezoea kupiga picha wakati hizo spare huwa na part number? Au kwa sababu wataka iliyokufa?
Mkuu kwanini tumezoea kupiga picha wakati hizo spare huwa na part number? Au kwa sababu wataka iliyokufa?