Fan video: Goli la halali la simba lilokataliwa vs gwambina

Fan video: Goli la halali la simba lilokataliwa vs gwambina

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Angalia video hii iliyorekodiwa kwa simu tuliambiwa kwamba kona ya Chama ilitoka nje ikarudi ndani, oh jesus christ lord have mercy line 2 ni mwana utopolo nini? Au bahasha za khaki zilishafanya kazi/ pumbavu rudisha advance ya watu yaani huyu alishindwa tu kunyoosha kibendera goli la Zimbwe kwamba Zimbwe hajachomekea jezi
 
Back
Top Bottom