round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Taaluma yoyote ina watu waliotoboa ila kuna utofauti wa viwango mfano ugumu wa kupata connections, hali ya competition / ushindani, strictness ya taasisi zinazosimamia, n.k.
Mhasibu mwenye CPA (Certified Public Accountant) - kuandaa hesabu za wafanyabiashara / makampuni, kufile kodi zao, kufungua darasa la watahiniwa wa cpa, n.k.
Mwanasheria TLS (Tanganyika law society )- kusimamia kesi za watu, kusaini medical form za wanafunzi wanaoanza chuo, kupiga mhuri vyeti vya wahitimu wanaoomba ajira.
Engineer aliesajiliwa ERB (Engineers Registration Board ) - ni mambo ya ujenzi na marekebisho ya majengo na miundombinu, wapo wanaodeal na umeme, kuchora ramani za majengo, n.k.
Daktari MCT (Medical Council of Tanganyika) - Waweza fungua clinic / zahanati ya meno, macho, kutibu magonjwa,n.k.