Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana?
Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji.kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo.
Fanya kile unachoona kinafaa hakuna utakachopata hapa zaidi ya wewe kuchukua maamuzi ya kufanya unachotaka.rubbish pessimistic thinking