FANI/KOZI YA UREFARII

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
assalam wakuu
kama kichwa kinavyojieleza nataka niwe refarii kwa kiwango cha kimataifa(FIFA). JE KWA HAPA Maguland kozi hii inapatikana wapi?
nina hobby sana na hii fani.
nawasilisha
 
Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana?
kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo.
 
kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo.
Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…