Fani ya Data Science

Fani ya Data Science

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Habari, wadau napenda kujua kuhisi hii fani mpya ya data Science kwa upande wetu huku Tanzania naweza kuipata chuo gani nijue.
  • Chuo kinachotoa fani hiyo
  • Level (cheti shahada)
  • Ada
  • Vigezo vya fani husika
 
Ushauri wangu ni huu.
1. Angalia udsm ukikosa,
2. Angalia udom,ukikosa,
3. Angalia must.
Ukikosa huko kote hiyo kozi basi apply nje tu,sikushauri kabisa kwenda sua au chuo chochote private.
 
Chuo cha kilimo cha Sokoine na data wapi na wapi? 😂😂
Aisee sio kwamba hawana kozi za IT pale,la hasha wanazo,shida ni kukaririshana madesa na zero practical.

Wapo kule mazimbu,wana idara ya informatics,ila chenga tupu,tena kama ni kozi mpya asiende kabisa.
Chuo kina mifumo mibovu sijawahi ona,yaani ni kawaida kabisa kukuta katikati ya semester almanac ikabadilika ikaathiri hata academic na hakuna anayejali.

Ukisikia sua ni bora ujue ni kazi za watu wa vet kule na kilimo,mengine haya waachie waendelee kuidanganya serikali ila siku zao zinakuja.
 
Habari, wadau napenda kujua kuhisi hii fani mpya ya data Science kwa upande wetu huku Tanzania naweza kuipata chuo gani nijue.
  • Chuo kinachotoa fani hiyo
  • Level (cheti shahada)
  • Ada
  • Vigezo vya fani husika
Mwanangu anaipiga hii kitu pale MUST mkuuu
 
Back
Top Bottom