Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ukisoma fani ya 'Marketing', moja kwa moja wewe unakuwa umejiondoa kwenye kazi za kukaa ofisini na kupulizwa na kiyoyozi; kazi zako wewe ni za kwenda 'field' kwenye kutafuta wateja kwa kutuma mbinu mbalimbali ulizosoma huko darasani.
Tunawashangaa sana mnapokuja huku maofisini na kung'ang'ania viti vya ofisi, na kutokujua umuhimu wa fani ulioisomea.
Tunategemea kwa fani hii, utuelezee, uwepo wako hapa ofisini umeweza kuongeza wateja, labda kutoka 500 mpaka kufikia 5000 n.k
Nadhani mtakuwa mmepata mwanga.