Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwahiyo marketing manager wa Airline anakwenda wapi kutafuta wateja?Ukisoma fani ya 'Marketing', moja kwa moja wewe unakuwa umejiondoa kwenye kazi za kukaa ofisini na kupulizwa na kiyoyozi; kazi zako wewe ni za kwenda 'field' kwenye kutafuta wateja kwa kutuma mbinu mbalimbali ulizosoma huko darasani.
Tunawashangaa sana mnapokuja huku maofisini na kung'ang'ania viti vya ofisi, na kutokujua umuhimu wa fani ulioisomea.
Tunategemea kwa fani hii, utuelezee, uwepo wako hapa ofisini umeweza kuongeza wateja, labda kutoka 500 mpaka kufikia 5000 n.k
Nadhani mtakuwa mmepata mwanga.
Unategemea afanye nini apate wateja? Ingekuwa watu wanalipwa mshahara kwa kamisheni wengi wangefukuzwa kazi.Kwahiyo marketing manager wa Airline anakwenda wapi kutafuta wateja?
Elimu ya kukariri ndio tatizo Bongo.
Anatakiwa aende kwenye taasisi binafsi na za umma na kutoa proposal, bila hvyo wengi wanakula mshahara wa bureKwahiyo marketing manager wa Airline anakwenda wapi kutafuta wateja?
Elimu ya kukariri ndio tatizo Bongo.
Wewe umesoma nini?Anatakiwa aende kwenye taasisi binafsi na za umma na kutoa proposal, bila hvyo wengi wanakula mshahara wa bure
2d animationWewe umesoma nini?
Wannabe.2d animation
Unaifahamu kwanza?Wannabe.
Marketing officer labda private na wale wauza vyombo kama waha ...Hawa wa serikali wana wateja permanent ukiwapeleka field hutoweza kuwalipa posho kila siku.
Hata hao wengine wanatafuta wateja mitandaoni ,bank hizi hawana time ya kusumbua watu wanapitia tu watumishi wa umma .Kwa sasa kama mikopo imeunganisha na mfumo wa Ess.utumishi automatically...
Mambo yamekuwa rahisi huko mtaani utaona wauza vyomba na hizi banks ndogo ndogo.
Ila mitandao inasaidia sana ,kama hzi kampuni za mikopo umiza wanapata wateja wengi kwa kutumia mitandao tu.Kulemaa kwao ndio kunakosababisha ukosefu wa mapato kwa taasisi wanazofanyia kazi; kwa taasisi makini inayohitaji mapato yakutosha, haitawavumilia wale wanaobweteka maofisini.
Ila mitandao inasaidia sana ,kama hzi kampuni za mikopo umiza wanapata wateja wengi kwa kutumia mitandao tu.
Kwa nini?hizo fani huko tanzania inabidwi ifute vijana wasome fani za trades
Ndio hivyo, na wanatakiwa waelewe hivyoMarketing ni udalali😄😄