Pensador
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 499
- 973
Habarini wana JF,
Jina la topic linajieleza, naomba niwakaribishe wadau wote wa mchezo huu pendwa.
Kiufupi nimekua mfatiliaji wa EPL ambayo pia ina app kwa ajili ya wadau wake kuweza kujipima uwezo wao kuwa kama Meneja wa vikosi vyao wenyewe, mchezo huu umekuepo tangu msimu 2007/08.
FPL ni mchezo unaokuweka katika nafasi ya meneja wa Ndoto wa wachezaji wa Ligi Kuu. Ni lazima uchague kikosi cha wachezaji 15 kutoka Ligi Kuu ya 2022/23, ambao wanapata pointi kwa timu yako kulingana na uchezaji wao kwa vilabu vyao kwenye mechi za PL. Bei hupewa wachezaji kulingana na idadi ya pointi za FPL wanazotarajiwa kutoa na unawekewa kikomo cha bajeti ya £100.0m kwa kikosi chako cha wachezaji 15.
Kama wewe ni mdau wa mchezo huu pendwa wa wafatiliaji wengi wa ligi kuu ya uingereza karibu tufahamiane na kushare ideas mbalimbali kwa msimu huu 2022/23 na kuendelea.
KARIBUNI!!!!