Fanya biashara hizi kama una mtaji kiduchu

Biashara ya kukaanga mahindi bisi kwa ajili ya popcorn,,je hii waionaje mkuu au mwaionaje?
Nashida na mashine popcorn sijui naipataje
ipo ninayo ila kioo cha mbele cha kuweka kingne
 
Kuna sista duu mmoja naye alipigwa za uso kubabake heka moja alivuna matikiti nane mimi mwenyewe niliyahesabu tena madogo kama ndimu.Ukitaka kuvunja mazungumzo nae we taja tikiti tu.
Huna akili mkuu! Matikiti 8 inakuwaje hiyo? Mimi nililima ekari 1 na nusu Kasulu, nilivuna lakini ni pungufu ya matarajio. Unaenda sokoni nako Waha wanayakusanya na kuvunga kama wananunua kumbe wanakukalisha ili ukate tamaa ikifika saa 10 ushushe bei. Hawa niliwakomesha maana nilikuwa na pick up ya kazini muda ulipoenda nikayakusanya nikapakia kwenye pick up maana hayaharibiki mbona walinifuata mpaka nyumbani. Nikawasikia wanaanza kusemezana kwa Kiha, lo mmeyakanyaga kwa Msukuma maana hajalimia shida huyu. Pumbavu kabisa Waha wote!๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Biashara hapo hakuna hata moja.
Bodaboda ndio biashara pekee dereva anaweza kuanza na mtaji wa nguvu na akili zake pekee.
Unatafta boss,mkataba mezani unaamsha chuma.
 
Sina akili tena? Unatumia kipimo gani kupima akili za watu humu mtandaoni?!
 
Ulivyoropoka tu mkuu ni uthibitisho tosha! Matikiti 8 kwa ekari siyo mchezo mkuu!
Ungeuliza kwanini sasa alipata matiki nane tena mimi ndiyo niliyoyahesabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Huu sio utani .Je nikukuambia bimkubwa wangu kalima heka nne za mpunga kapata gunia nne utaamini?! Mwaka jana ndio alizira hata kuvuna ,maana angepata visado tu.Usicheze na kilimo kama huna capital,unategemea bwawa la maji ya mvua.Kwanza huyo dada tu kwenye mbegu wazoefu wanadai alipigwa bado factor nyingine naziacha.Narudia hana hamu na kilimo tena.
 
umeshusha nondo mkuu lipo la kujifunza hapa
 
Nilifanya huu upuuzi. Walinishawishi mafala flani training kule Makumbusho. Nilikua nikilala naiona Harrier nyeusi. Aisee nilipigwa za shingo.
Kilichobaki ni kununua ndinga kali tukisubiri mafao tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ sitini yenyewe kwa life la sasa sijui kama itafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ