Watu wenyewe Hawana hela Hadi wauza k wanauza buk 2au 3 wauza chps zinadoda na hasara kila kukicha..we fanya unachoweza sio kusikia..kinacholipa na hautasikia Jenga frem Jenga nyumba ya kupanga fungua lodge fungua kibanda Cha kuuza pombe za kupima na sigara