Fanya biashara kidigital

Fanya biashara kidigital

Master Suley

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Habari,

Kama wewe ni mmiliki wa pharmacy, Hospital au zahanati,supermarket au duka la aina lolote ile bas hii inakufaa, Dunia hivi sasa imebadilika sana tekinolojia inazidi kukua Kila kukicha.

Kwa kuzingatia Hilo, Tunakuletea eMs, hii ni program ya computer itakayokuwezesha kurecord mauzo Yako, kurecord manunuzi na matumiz ya Kila siku, itakuwezesha kujua faida na hasara inayopatikana lakini pia itakuwezesha kujua bidhaa zilizoisha au kuexpire Kwa urahis Zaid na pia kufunga hesabu za biashara na kupata report ya siku,wiki,mwezi au mwaka Kwa haraka zaidi.

Gharama zetu ni sawa na Bure.

Kwa maelezo Zaid nichek Whatsapp 0755315058.

Ahsante
 
Back
Top Bottom