Fanya gari lako kuwa la kuvutia kwa kubadilisha muonekano wa gari lako kwa kuweka plate namba za kisasa za 3D. Hii ni fursa adimu ya kuongeza hadhi ya gari lako kwa gharama ndogo na muda mfupi tu.
Fanya gari lako kuwa tofauti na wengine, lipende gari lako.
Plate namba za 3D zinapatikana hata kwa walio mikoa ya mbali tunakutumia kibao kwa uaminifu mkubwa.Ni wakati wa kuondoka katika kawaida na kuwa wa kipekee!
Nitafute kwa namba
0769055050
bei kitongaaa ya ofa kwa mwezi huu tu…laki moja tu (100,000)
View attachment 2660548View attachment 2660549View attachment 2660550