ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo
1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa
Mbele ya watu watajifanya wapo tayari kukoselewa ila kiuhalisia hawataki, utapotezwa.
2. Kuwa mtu wa haki Kwa wengine (usidhulumu) hasa pesa za dili
Usijaribu akudhulumu hasa magendo, kama hasa pesa ya deals ukipewa dili kubwa la mamilion kama Kuna mtu alikupenyeza kwa makubaliano utampa malipo yafanye chap usiwe na janja janja, utapotezwa
3. Epuka mienendo ya ujambazi na wizi. Hizi kesi za ujambazi haIfiki mahakamani, wajuzi wakijiridhisha wewe ni jiI na jambazi.
Utafatwa na Noah nyeusi
Na utapotezwa mazima ohooooo.
4. Epuka wake za watu
Kutembea na mke wa mtu,
Uchi tu utakupoteza uraiani chap.
Kuna watu unaweza kuwachukulia kawaida kumbe ni watu wa system,
Ukimfata demu muulize kama ameolewe, alikwambia ndiyo
Acha utapotea.
5. Ukiwa tajiri make sure ule na watu wa system, ni kosa tajiri kukosa marafiki wa vyombo vya ulinzi na usalama,
Hakikisha OCD, RPC, nk una namba zao.
Na unawapa vibahasha mwisho wa mwezi. Hawa watakuvusha pagumu
Dalili za kukaribia kupotezwa
1. Kupigiwa na namba mpya na watu usiowaelewa wakiomba appointment, ndg usijaribu kukutana nao
2. Kupigwa na mteja alitaka umuuzie bidhaa au huduma ya faida kubwa.
3. Kufuatwa nyumana gari usilolijua
4 . Kuitwa pembeni na watu usiowafahamu, usikubali
5 Kukamatwa na askari kanzu, wasiokuwa na sare