Fanya hivi kila siku kuepusha kifo cha ghafla

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532

Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.

Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

USHAURI:

Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-

1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.

2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.

3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.

Shirikisha marafiki na jamaa.


Hii inatokea bila kujali umri.



Yaliyojiri.com
 
Thanks.. maana wengine tumezoea kukurupuka na kutupa shuka kule, ili kuwahi mswaki na taulo.
Kwa muda ulioeleza kutumia hatua hizo huwa tumeshafika bafuni...
Daaaaaaah,ubarikiwe sana..
 
Hakuna kitu kama hicho, hizo ni Sayansi za wachawi, kama ingelikuwa ni kweli basi kusingekuwa na binadamu duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…