Kweli mkuu eti kubana matumizi..kasumba ya ajabu kabisa!Kwanini ubane matumizi mkuu? Sera ya kubana matumizi iwe ni kwa mtu au nchi tafsiri yake ni moja tu mtu huyo au nchi iyo ilikuwa limbukeni ya matumizi na kwamba ilielekeza pesa zake kwny mambo ya kiuasherati.
Being frugal in busines n life z good lakini isifikie hatua ya 'kujinyima'. Kama unapenda kula vizuri,kutembelea mkoko mzuri,kuvaa vizuri au spending on lavish vacations hizo sio anasa ni kujipenda na kuthamini maisha
Unachotakiwa kufanya ni kuumiza kichwa tu how u will maintain yo lifestyle, n this means uongeze creativenes by awakening yo geniusness kubuni other sourcs v income that will keep bringing money in yo pocket.
One v my busines mentors hupenda kusema 'mtumiaji ni mtu anaejua kutafuta lkn mbanaji ni lofa wa ugunduzi'
Mkuu life z too short to deal with cheap drinks,cheap food n being average.
#G.T.O
WORDKwanini ubane matumizi mkuu? Sera ya kubana matumizi iwe ni kwa mtu au nchi tafsiri yake ni moja tu mtu huyo au nchi iyo ilikuwa limbukeni ya matumizi na kwamba ilielekeza pesa zake kwny mambo ya kiuasherati.
Being frugal in busines n life z good lakini isifikie hatua ya 'kujinyima'. Kama unapenda kula vizuri,kutembelea mkoko mzuri,kuvaa vizuri au spending on lavish vacations hizo sio anasa ni kujipenda na kuthamini maisha
Unachotakiwa kufanya ni kuumiza kichwa tu how u will maintain yo lifestyle, n this means uongeze creativenes by awakening yo geniusness kubuni other sourcs v income that will keep bringing money in yo pocket.
One v my busines mentors hupenda kusema 'mtumiaji ni mtu anaejua kutafuta lkn mbanaji ni lofa wa ugunduzi'
Mkuu life z too short to deal with cheap drinks,cheap food n being average.
#G.T.O
Halafu ukijibana kunya ovyo unajiepusha na njaa ili ubane matumizi usinunue chakula15: Usipende kwenda chooni mara kwa mara ili kuepusha kujaza choo mapema.
Yeye mwenyewe mla monde mzurii ndoo maana hajagusia hukoNashukuru tu kwenye hiyo list yako hujaongea chochote kuhusu bia.. maana ungelikua umeharibu kila kitu..
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]ukiandika, andika vya muhimu tu ili kusevu chaji ya simu.
Asante kwa kunipa moyo,Wewe ni tajiri ila hujaamua kupanga mikakati vizuri
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu muachie nyumba umtembelee siku muhimu tuVimenigusa vyote nashukuru sana nitavifanyia kazi, maana naishi mbali na ofsin almost 30km kwenda then 30km kurudi. Nimemshawish wife tukapange karibu na office hataki,
kwa siku natumia mafuta ya 15000 pia njia ni mbovu hivyo service za Mara kwa Mara zinanihusu .
Post sent using JamiiForums mobile app
unapoteza pesa nyingi sana, mngekaa karibu na ofisi means mafuta ya 5000-7000 yangekutosha per day so kwa wiki ungeweza kusave ya mafuta 40000-50000 plus hela za service ya gari.pia ungewahi kurudi nyumbani na kufuatilia biashara ndogo ndogo za kusaidia matumizi ya nyumbani.muda unaoupoteza kwenye hizo 60km kwa siku ungekuingizia pesa km ungekaa karibu na ofisi.mkuu nimekuhurumia sana,naomba uongee vizuri na wife na kumshawishi akubali mpange.pia muahidi kumpangia nyumba nzuri ya pekeyenu yenye facilities zote kama parking,maji ili akisikie vzr kama kwenye nyumba yako. sasahv nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala,sitingroom,dining room,jiko,choo na bafu unapata had kwa laki mbili na nusu tena sinza,mwenge.wishing you all the best
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]15: Usipende kwenda chooni mara kwa mara ili kuepusha kujaza choo mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukimaliza kupika chomoa kuni kwenye mafiga zizime zitakufaa kesho na mkaa pia ufunike kwa sefuria,nunua samaki vibua kamoja kanapiga tonge za ugali hata 15 unakuwa umesevu
CC : wenzangu wa mtogole rangi 3 na gomz pamoja na mabwe
Sent using Jamii Forums mobile app