Na kwa wanawake?Piga nyeto kabla ya safari (kwa wanaume).
Nimekuachia wewe uwaambie wanawake wenzako.Na kwa wanawake?
Acha tuendelee kunusa kwapa na kulamba ndimuππ½ββοΈNimekuachia wewe uwaambie wanawake wenzako.
Kabisa, hiyo kwenu ndiyo suluhisho.Acha tuendelee kunusa kwapa na kulamba ndimuππ½ββοΈ
Umemaliza ,kwenye vidonge hapo ni fenegan sema utalala kama ponoKuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit).
Kama unashida kama hii nakupa mambo haya utachagua utumie njia gani kujizuia kutapika kwenye basi au usafiri
1-kabla hujaingia kwenye basi au usafiri lamba tairi la gari hutoweza kutapika safari yako yote piga vitu mkuu
2-Kabla hujaanza safari tafuta gazeti ukupata weka kwenye seat yako kisha kalia safari nzima
3-Ukihisi kichefuchefu gusa kwapa lako kwa mkono kisa nusa hio harufu yake kichefuchefu kitaisha hutotapika
4-Kama unajua hali yako kabla ya safari tafuta kiberiti cha njiti kisha chukua njiti moja tafuta hio risasi yake
5-Kipande cha mkaa tafuna kidogo kidogo kila ukihisi kichefuchefu
6-kipande cha tangawizi tafuna kidogokidogo kila utapohisi kichefuchefu
7-Nunua limau ya unga ukihisi kutapika lamba kidogo hakikisha kama safari ni ndefu unanunua angalau vipande 10 au nunua limau zima kata kipande
8-Tema mate chooni kabla ya safari
9-Beba majivu ya mkaa au kuni kidogo ukisikia kichefuchefu lamba
10-Tumia vidonge vya usingizi baada ya kupanda kunywa unapiga zako mbonji hadi unafika
11-kaa siti ya dirishani ukihisi kutapika fungua dirisha upigwe hewa.
njoa nzuri na rahisi kula nyama choma basi hasa ngombe na ndizi za kukaangaKuna baadhi ya ndugu zetu hawawezi kuhimili safari nzima bila kuchafua hali ya hewa kutapika safari (to vomit).