Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona lastborn katika ubora wako.Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu
KAMA KIPATO KITAONGEZEKA MARA DUFU KWA NINI HUYO MPOKEAJI ASIONGEZE KIPATO CHAKE MARA DUFU BILA KUTUMIWA PESA NA NDUGU YAKE?Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu
Hii nayo ni sahihi ndio maana wengi wenye uwezo ananunua IST au VITz au gari za haiba hiyo anamkabidhi dogo apige Moshe za Uber au bolt asikae mtaani bureKwa nini? Usikfungulie kabiashara akaendeshe ajipatie tu mwenyewe hizo badala ya kumtumia bila sababu
Ni vema kusaidia walio kwenye Hali ngumu, unamkazia dogo halafu akija kuyapatia maisha unaanza kusema anaringa.
Kama kweli ni mdogo wako unashindwa nini kumtoa kibingwa mpe 50 akanunue jeans asichakae mtaani au mpe laki akaspend kidogo na demu wake ndio maisha nae hataisahau na inaongeza bond Kati yenu.
Mdogo wangu alipokuwa chuo kikuu pamoja alibahatika boom 100% lakini najua halitoshi nilikuwa najitahidi sana kumpa hela hata ya bia unamrushia 20 weekend nae anavimba.
Leo hii navyoongea anaishi Botswana ana kazi nzuri sana, yeye ndio ananirushia vidola nami Sasa navimba bar sinywi Kvant sababu yake. Nina uwezo Ila Ile extra anayonipa inanipa Uhuru wa kuspend bila kuogopa if at all naamua kufanya starehe but pia amenisevu sana hata mkoko alinisaidia kununua South Africa nikalipia tu gharama za ushuru.
Usimdharau kijana hujui kesho yake, unalomfanyia leo yawezekana kesho nawe likakutokea. Kutoa ni kuweka
Acha ujinga man!!mpe dogo kazi hata ya kulisha kuku na kufagia banda hata kuwa mwezi mlipe hata hyo 50000 ukimpa bure atakuwa shoga au msenge kabisa!!!hela za kupewa zinaharibu Sana wanaume!! Huku mkitafuta mchongo wa kazi sehemu!!!wtz tuache ujinga wa kuwapa madogo hela badala ya kazi!!Ni vema kusaidia walio kwenye Hali ngumu, unamkazia dogo halafu akija kuyapatia maisha unaanza kusema anaringa.
Kama kweli ni mdogo wako unashindwa nini kumtoa kibingwa mpe 50 akanunue jeans asichakae mtaani au mpe laki akaspend kidogo na demu wake ndio maisha nae hataisahau na inaongeza bond Kati yenu.
Mdogo wangu alipokuwa chuo kikuu pamoja alibahatika boom 100% lakini najua halitoshi nilikuwa najitahidi sana kumpa hela hata ya bia unamrushia 20 weekend nae anavimba.
Leo hii navyoongea anaishi Botswana ana kazi nzuri sana, yeye ndio ananirushia vidola nami Sasa navimba bar sinywi Kvant sababu yake. Nina uwezo Ila Ile extra anayonipa inanipa Uhuru wa kuspend bila kuogopa if at all naamua kufanya starehe but pia amenisevu sana hata mkoko alinisaidia kununua South Africa nikalipia tu gharama za ushuru.
Usimdharau kijana hujui kesho yake, unalomfanyia leo yawezekana kesho nawe likakutokea. Kutoa ni kuweka akiba.
Inahusiana na nn kukutana mlimani cityWakati tunakutana nao hapo mlimani city si walijiona wajanja hawatujui,wapambane wapate zao
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Bado brother hajatuma?Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu