Fanya Jambo hili kabla ya kufa-Do this before you die

Fanya Jambo hili kabla ya kufa-Do this before you die

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati huu;

Najua wengi mnajua hili.Najua wengi mmewahi kuambiwa hili najua wengi mnatamani muambiwe hili

Katika maisha huwa hakuna kitu kinaitwa kuchelewa au kuwahi.Kila jambo lina wakati wake.Hata hivyo kuna jambo moja la muhimu sana la kufanya kabla ya kufa.Je unalifahamu?

START a BUSINESS-ANZISHA BIASHARA
Ninaposema anzisha biashara namaanisha anzisha biashara.Usikubali kuwa na kisingizio chochote kile,iwe mtaji,ujuzi,muda,au ugumu wa biashara au hofu ya kupata hasara.JUST start a business.Haijalishi ni biashara ndogo au kubwa kiasi gani hata kama ni ya kuuza karanga na juice au maandazi JUST start a business and make sure you run it like a real business ikiwamo kuipa brand,kuwa na malengo n.k. JUST start a business and run it like a REAL business.

Najua kuna watu hawataelewa mapema ila ukianzisha biashara na kuanza kuiendesha inakupa sense of PURPOSE na hakuna kitu kitamu katika maisha kama kuwa nasense of PURPOSE Hata kama biashara yako utaifanyia kazi mara moja kwa mwezi.JUST start a BUSINESS.Hata kama haikupi faida kubwa sana JUST start a BUSINESS

Ukianzisha Biashara unapata kitu kinaitwa SENSE of WORTH unaihitaji sana katika maisha yako.Waulize watu ambao tayari wanamiliki BIASHARA zao utaelewa ninachokwambia.Kuna ambao kipato chao ni kdogo kuliko lakini the fact kwamba its their business inawafanya wapate hamasa.

Ukianzisha biashara inakupa something to SHOW OFF.Kwenye Wasifu wangu kuna kampuni ambayo nimefanya nayo kazi kwa zaidi ya Miak 20.Thats my Company na sina cheo kikubwa lakini the fact kwamba nimekuwa nafanya kazi in my company for 13 years tena nikifanya kazi technical na non-technical ina maana Hata wakati niko nje ya ajira huwa siko nje ya ajira bali ninachokosa ni Mshahara tu.

Ukianzisha biashara unakuwa na kitu cha kuachi wategemezi wako kama inspiration kwao kwamba BABA/MAMA yangu alikuwa na LENGO fulani na mimi nitalitimiza.ITS a strong MOTIVATION kwao.

Kama unataka kuanzisha BIASHARA ila hujui uanzishaje BIASHARA,UIENDESHEJE,au ni aina gani ya BIASHARA UNATAKA KUFANYA wasiliana nasi kwa email: masokotz@yahoo.com.

We mght have some ideas here and there.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
Screenshot_20210610-132609.jpg
 
Back
Top Bottom