Fanya kama vile hujaona. Hatari salama..

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
Duh hata kama ni dharura lakini usalama kwanza.
Mafundi wakiwa kazini.
 
Wakifa watadai kazi ya mungu haina makosa jamni!!!
 
halaf panaokena kama vile kando ya barabara na giza ndo linang'atia....kazi kwanza usalama baadae
 
Maisha magumu... bila kukomaa unalala njaa. Sehemu nyingi wanatunguliza Kazi kwanza, then usalama baadaye.
 
Ukisikia mama weeeeeeeee!Kesho tunazika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…