Fanya Mambo haya ili uheshimike katika Jamii

Fanya Mambo haya ili uheshimike katika Jamii

Joined
Jul 31, 2022
Posts
45
Reaction score
98
1. Heshimu wengine,wakubwa kwa wadogo.Ukitaka heshima toa heshima.

2. Epuka kuwa mmbeya,fanya mambo yako.

3. Heshimu sheria na taratibu zilizowekwa maeneo mbalimbali.

4. Kuwa jirani mwema. Hujui leo na kesho.

5. Fikiri kabla ya kuongea chochote mbele za watu.

6. Jizuie kuweka ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.

7. Wapende ,wajali ,wafundishe na uwasaidie watoto na wazee ikibidi.

8. Jiheshimu na ujipende,usijipendekeze.

9. Usimkaripie dereva mwenzako endapo kuna jam/msongamano barabarani.

10. Toa kitu au vitu kwa ajili ya jamii.

11. Kuwa wa kwanza kuanzisha na kuendeleza mazungumzo ,usiwe msikilizaji tu.

12. Jitolee kwa vile vitu unavyoweza kutoa na kuonyesha mchango wako.Jiunge makundi utakayoonyesha thamani yako .

13. Weka juhudi ya kuwa mwema na mkarimu kwa watu wanaokuzunguka kila siku.

14. Jiwekee ratiba itakayoimarisha afya yako(health lifestyle)

15. Ongelesha nafsi yako vitu vya msingi.

16. Wasikilize wengine wanapoongea ,hata kama haukubaliani nao.Wasikilize ni muhimu kuwasamehe pia.

17. Ipende familia yako/ndugu zako na hasa mpenzi/wazazi/walezi wako.

18. Epuka ulevi,uasherati na tabia hatarishi.

19. Kuwa mtu unayeyaishi malengo.

20. Vaa vizuri,pendeza.

Ongeza mengine.

Ikiwa umejifunza.!Kura yako ni muhimu. Asante.
 
1. Heshimu wengine,wakubwa kwa wadogo.Ukitaka heshima toa heshima.

2.Epuka kuwa mmbeya,fanya mambo yako.

3.Heshimu sheria na taratibu zilizowekwa maeneo mbalimbali.
4.Kuwa jirani mwema.Hujui leo na kesho.

5.Fikiri kabla ya kuongea chochote mbele za watu.

6.Jizuie kuweka ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.

7.Wapende ,wakali ,fundisho na uwasaidie watoto na wazee ikibidi.

8.Jiheshimu na ujipende,usijipendekeze.

9.Usimkaripie dereva mwenzako endapo kuna jam/msongamano barabarani.
10.Toa kitu au vitu kwa ajili ya jamii.

11.Kuwa wa kwanza kuanzisha na kuendeleza mazungumzo ,usiwe msikilizaji tu.

12.Jitolee kwa vile vitu unavyoweza kutoa na kuonyesha mchango wako.Jiunge makundi utakayoonyesha thamani yako .

13.Weka juhudi ya kuwa mwema na mkarimu kwa watu wanaolizunguka kila siku.
14.Jiwekee ratiba itakayoimarisha afya yako(health lifestyle)

15.Ongelesha nafsi yako vitu vya msingi.
16.Wasikilize wengine wanapoongea ,hata kama haukubaliani nao.Wasikilize ni muhimu kuwasamehe pia.

17.Ipende familia yako/ndugu zako na hasa mpenzi/wazazi/walezi wako.
18. Epuka ulevi,uasherati na tabia hatarishi.
19.Kuwa mtu unayeyaishi malengo.
20.Vaa vizuri,pendeza.

Ikiwa umejifunza.Naomba kura yako.! Asante.
Tafuta hela hakikisha unakuwa na pesaa ya kutoshaa.
 
Back
Top Bottom