Fanya mapinduzi ya kiuchumi kwa mtaji wa laki tatu

Utakuta yeye hana hao kuku.
Ukija huko ground utaona uhalisia unavyovyeyuka.
Sisemi ufugaji sio dili,ila uhalisia ni tofauti.
Ufugaji sio hesabu,5+5=10
Mkuu, tunatumia majukwaa kuelimisha jamii na siyo kushindana tunavyomiliki. Hii mada nimeiita mapinduzi kwa kuwa kuna mbinu za ziada ambazo kwa ufugaji wa kawaida wa mazoea hazitumiki.
 
kwa maelezo baada ya siku 21, utapata vifaranga kila wiki. banda la vifaranga, unajua wa rika tofauti hawachanganywi? umeandika, nenda kafuge ujionee.
 
Hakuna chepesi chini ya jua, ni kujifunza kwa bidii.
nilimefuga sana wakanishinda mkuu

kuku wa kienyeji ukimfuga kisasa ni mtihani mkubwa mno

bora kuku wa nyama au mayai wanajulikana formula yake, hawa wa kienyeji kufuga kisasa ni Pasua kichwa sana
 
Kimojawapo ni kwamba:-
Kuku wa kienyeji hutaga mayai mwisho 15 kisha atatakiwa kuyaatamia, hapo hatagi mpaka au aahirishe kuatamia ambapo itamchukua sii chini ya siku 12 mpaka 18.
Kwa maana hiyo hesabu za huyu mjasiriamali zinaupotoshaji mkubwa.
umeambiwa unatakiwa utoe mayai uyapeleke kwenye incurbartor yatotolewe wewe una pinga bila kusoma na kuelewa alichoandika.
 
 
Sio rahisi kama kuandika ukitaka kugundua ingia kwenye practice
 
Aisee mradi mzuri sana huu kwa sisi tusiofanya mambo kwa hisia.

Big up Mkuu. Nimechukuwa mawasiliano.
 
Kitabu naweza kukipataje mkuu
 
vifaranga tuu 30 hapa vimenishinda....sa sijui hao 100 vp
 
Kabla sija chochote comment naomba kujua elimu ya mtoa mada kwanza, umesomea kilimo na mifugo? Au mifugo? Kwa ngazi ipi? (certificate or diploma or degree) mana usije ukawelekeza watu kitu halaf mambo yakaenda sivyo kumbe wewe mwenyewe hauna elimu juu ya sekta husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…