R reuben makene Member Joined May 12, 2011 Posts 55 Reaction score 86 Jan 2, 2018 #41 Ukihamishia kwenye vitendo ni somo gumu sana
F franklin mariki Member Joined Oct 6, 2018 Posts 8 Reaction score 0 Oct 16, 2018 #42 Hakuna jambo lisilo na changamoto.....kila kitu kinachangamoto zake, huwezi kujua changamoto kama haujafanya!!! Hili ni bonge la idea.......umesaidia MTU kuwa na mwanzo wa kuanzia.
Hakuna jambo lisilo na changamoto.....kila kitu kinachangamoto zake, huwezi kujua changamoto kama haujafanya!!! Hili ni bonge la idea.......umesaidia MTU kuwa na mwanzo wa kuanzia.