Fanya uume usimame kama msumari

kyesha

Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
22
Reaction score
17
Kama kichwa kinavyojieleza ni jinsi ya kufanya uume wako ukisimama(ukidinda) uwe Kama msumari ulionyoka
ni rahisi sana
MAHITAJI
1.asali
2.vitungùu swaumu
3.kijiko kidogo cha kawaida
MATUMIZI
chukua punje sita za kitunguu swaumu
menya katakata vipande vidogo vidogo
changanya na kijiko kimoja cha asali koroga alafu meza huo mchanganyiko
kila Siku asubuhi kabla hujala chochote au kunywa chochote kwa Muda wa
Siku saba (7).
 
Hahahhaaaa jamani...

Kuna siku mtaambiwa mpake mawashawasha mtapaka !!
 
kwa manufaaa ya nani mkuu
 
Jinsi ya kupata six pak bila mazoezi
Saga karoti, changaya na asali na maziwa, hakikish mchanganyiko unakuwa mzito zito.
Pakaa usoni na tumboni kwa siku 7.
Six pak kama zote
 
Jinsi ya kupata six pak bila mazoezi
Saga karoti, changaya na asali na maziwa, hakikish mchanganyiko unakuwa mzito zito.
Pakaa usoni na tumboni kwa siku 7.
Six pak kama zote
😱😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…