Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Nafahamu zimesalia siku chache mno mwaka huu kufikia tamati, kwahiyo hakuna uwekezaji unaweza kufanyika kwajili ya mwaka huu.
Hata hivyo hakuna kitu kizuri kama kufanya maandalizi kabla ya utekelezaji wa jambo husika ,hii inakuweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufanikiwa. Kwahiyo uwekezaji huu utafanyika sasa kwajili ya mwaka ujao.
Huu ni uwekezaji ambao unaweza kuongeza mapato ya biashara yako mara dufu, imagine unafanya biashara ya hardware,ukajiongeza ukanunua gari yako mfano liteace pick up, kisha ukawataarifu wateja wako kua utawafanyia huduma ya free delivery kama watanunua mzigo wenye thamani ya laki 5 au zaidi.
Kwa huduma hii ambayo inampa urahisi mteja kununua bidhaa kwako itamfanya awe mteja wa kudumu, lakini pia atawataarifu wenzake wengine juu ya ubora wa huduma zako .Amini usiamini hii inaenda kuongeza mapato yako sababu washindani wako wengi hawafanyi.
Baada ya utangulizi huo naitambulisha hii liteace pickup ambayo ipo sokoni.
Hii mkuu imekuja na body kubwa hivyo ina uwezo wa kubeba mzigo mkubwa zaidi tofauti na liteace nyengine.
Imekuja na engine ya Diesel,kwa watu wa magari wanaelewa namna engine za diesel zilivyo na ulaji mzuri wa mafuta . Jamaa mwenye hii gari anaenda trip ya 100km na kurudi kwa mafuta ya elfu 30 tu!
Hii ni 4wd hivyo itakupa jeuri ya kwenda kokote bila kufikiria mara mbili mbili.
Bei yake ameanzia milioni 19.5 lakini mkikaa mezani anaweza kushusha,kama wewe ni mteja serious sitaona tabu kuwaunganisha wewe na mmiliki mfanye biashara.
Location ni Bagamoyo ila inaweza kusogea mjini Dar es salaam kwa mteja serious
Tuwasiliane kwa namba 0658124554
Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app