Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wamekusikia,shukrani
Nimeshazeeka, nakunywa kidogo kubust uelewa tu mkuu 😀 😀Hii imeenda...Leo hujanywa Lubisi
InapendezaNimeshazeeka, nakunywa kidogo kubust uelewa tu mkuu 😀 😀
Inapendeza
Unatakiwa uchukue ili wazo ufanyie utekelezaji; hata yale majengo marefu ya Dubai yalianzia kichwaniBiashara mtandao.
Haya haya haya mkujeeeeee
Naheshimu mawazo yako mkuu.Unatakiwa uchukue ili wazo ufanyie utekelezaji; hata yale majengo marefu ya Dubai yalianzia kichwani
Nimeipenda idea.. Asante kwa madini,tutayafanyia kazi,Fungua bucha, pia uanzishe kijiwe cha nyama choma; kuna siku nilikuwa maeneo ya manyara, watu wanakula nyama; acha kula tembele utauchosha mwili 😀
Naheshimu mawazo yako mkuu.
Nadhani wenye akili na mtaji watayafanyia kazi na kuyaingiza katika utekelezaji.
Riziki hupatikana pale ilipoandikiwa.Kuna siku nilikuwa maeneo ya Iringa; bucha ya kitimoto na kwa pembeni wanakukaangia kama utapenda, kwa kifupi wanunuzi walikuwa wakija wanakuta 'stock' imeisha.
Nilitamani kama ingekuwa makazi yangu huko, ningekusanya hizo chenji zao.
Tafuta penye makazi wengi wa watuAsante ,mimi nipo kwenye mchakato ,nilianzisha ndogo kwanza ya kufanyia visibility study lakini nilikosea chagua eneo bucha ikafa .
natafuta location nzuri maeneo ya hapa hapa dar es salaam.
Mwenye connection ya location nzuri
Asante kwa ushauriTafuta penye makazi wengi wa watu