Nawatania
Senior Member
- Jul 13, 2021
- 148
- 549
Fanyeni yote ila msiturudishe kwenye
Mgao wa umeme.
Ujenzi wa bandari bagamoyo
Kukwamisha mradi wa umeme wa maji.
Kupanda kwa gesi.
Kupanda kwa mafuta.
Kupanda kwa bundle.
Kurudisha karo shuleni.
Kuturudisha kwenye umeme wa mitambo ya kukodi Kama IPTL.
Msituambie kwamba tunatakiwa kuwalipa wakina Singa Singa na Rugemalila kwamba walisingiziwa hapana maana waliowakamata ni nyie na mnaowaachia ni nyie.
Tufanye yote Ila tusije tukaongeza bei ya umeme na kurudisha umeme wa Nchi kuwa mikononi mwa watu binafsi.
Pls natoa tu angalizo msiturudishe kule tulikotoka tunahitaji mradi ule wa rufiji ukamilike haraka tupunguziwe gharama za umeme.