Fao la kutokuwa na ajira

Fao la kutokuwa na ajira

kalemauji

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,661
Habari zenu wadau?

Wadau naomba kuuliza kwa wale wenzangu na Mimi tunaolipwa fao la kutokuwa na ajira, naomba kuuliza kwa wengine je mmeshalipwa malipo ya mwezi huu wa nne maana kwangu mpaka tarehe ya Leo bado sijaona salio likisoma naombeni majibu wadau.

Ahsanteni sana.
 
Hivi ule muongozo Waziri aliosema wanakuja nao kuhusu fao la kujitoa bado tu?
 
Habari zenu wadau?

Wadau naomba kuuliza kwa wale wenzangu na Mimi tunaolipwa fao la kutokuwa na ajira, naomba kuuliza kwa wengine je mmeshalipwa malipo ya mwezi huu wa nne maana kwangu mpaka tarehe ya Leo bado sijaona salio likisoma naombeni majibu wadau.

Ahsanteni sana.

Mm zimeingia zote
Bill ya Maji,Luku ,Na Gass
Nashkuru sana
 
swali lako wanaliruka mkuu bila huruma
Hili ni fao gani humu nchini mbona wengine hatulijui? Unajiandikisha wapi kuanza kupokea?
Hilo ni fao mbadala wa fao la kujitoa.

Fao la kutokuwa na ajira ni maalum kwa wale waliopoteza kazi za kitaaluma ( au zisizo za kitaaluma) aidha kwa sababu za mkataba kufikia mwisho au kujiuzulu.

Wanufaika hupewa asilimia 33.3% ya mshahara waliokuwa wanapokea wakati wakiwa kazini kwa muda wa miezi 6.

Mfuko unaamini ndani ya hiyo miezi 6 utakuwa umeshapata tena kazi sehemu nyingine na hivyo utatakiwa kuendeleza mfuko wako.
 
Ha ha ha
JamiiForums-460750266.jpg
 
Back
Top Bottom