Hawa jamaa wanyonyaji sanaHivi ule muongozo Waziri aliosema wanakuja nao kuhusu fao la kujitoa bado tuu?
Nadhani bado miwili.Nimelipwa mwezi mmoja ile asilimia 33.3%, nililipwa tarehe 17/03/2021.
Habari zenu wadau?
Wadau naomba kuuliza kwa wale wenzangu na Mimi tunaolipwa fao la kutokuwa na ajira, naomba kuuliza kwa wengine je mmeshalipwa malipo ya mwezi huu wa nne maana kwangu mpaka tarehe ya Leo bado sijaona salio likisoma naombeni majibu wadau.
Ahsanteni sana.
Okay, Ni miezi 6.Bado kulipwa miezi mitano sio miwili pamoja na mwezi huu.
swali lako wanaliruka mkuu bila hurumaHili ni fao gani humu nchini mbona wengine hatulijui? Unajiandikisha wapi kuanza kupokea?
swali lako wanaliruka mkuu bila huruma
Hilo ni fao mbadala wa fao la kujitoa.Hili ni fao gani humu nchini mbona wengine hatulijui? Unajiandikisha wapi kuanza kupokea?
Ha ha haHilo ni fao mbadala wa fao la kujitoa.
Fao la kutokuwa na ajira ni maalum kwa wale waliopoteza kazi za kitaaluma ( au zisizo za kitaaluma) aidha kwa sababu za mkataba kufikia mwisho au kujiuzulu.
Wanufaika hupewa asilimia 33.3% ya mshahara waliokuwa wanapokea wakati wakiwa kazini kwa muda wa miezi 6.
Mfuko unaamini ndani ya hiyo miezi 6 utakuwa umeshapata tena kazi sehemu nyingine na hivyo utatakiwa kuendeleza mfuko wako.