heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
ukiambiwa mapenz ya siku hiz hayana mana we elewa tu hivo..ikiwa wewe unayafulahia hongera zako..wengine tushatendwa tena huku stress hizi siwezi kuzibeba peke yangu so nitaji malafik wanaojua kuchngamsha mtu kwa ajili tu ya kuchati nisahau sahau kama kutakuwa na ulazima wa more than a friend vigezo na mashariti vitazingatiwa.
NB:me ni he na nnataka malafiki wa dar pekee,20-27yrs
NB:me ni he na nnataka malafiki wa dar pekee,20-27yrs