Farasi wa ajabu waonekana Zanzibar

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,238
Farasi Wa ajabu wameonekana uko Zanzibar Leo wajuvi hii ina maana gani. Au ndo siku za mwisho izi. Watu mliopo uko Zanzibar mtupe uhakika nimeikuta kwenye group whatup.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoo ngoja waje wengine walio ona alafu turudi kwenye biblia takatifu kitabu cha ufunuo ndo kuna hizo abari za farasi.
Pia kuna project ilikuwa ya kumleta masihi nadhani ilikuwa inaitwa cjui blue nini tafuta hio mada kule intelligence
 
Salini sana maana hamuijui siku ya mwisho.
 
Tupate ushuuhuda wa wengine kwanza kama ilivokuwa daslam juzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…