Farasi Wa Ulaya Mnauona huyo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Hakuna haja kwa Serikali kuagiza mabasi ya daladala yanayokwenda kasi,ni kuagiza farasi tuu Wana JF Leteni Ushauri wenu.
 
Vp nyama yake ni tamu?
Maana siku hizi kuna upungufu sana wa ,mboga na haya mafua ya kiti ndo balaa.
Mkuu hii kitu itasaidi ilete.
Teh,teh!
 
Kuna jamaa alinitonya kuwa hiyo ni sayansi imetumika hapo. eti hao ni farasi wawili wamefanyiwa operation wakawaunganisha ili wawe wanapanda polisi wengi hapo..huyo wa nyuma alikuwa amekaribia kufa kwahiyo wakamkata kuanzia kwenye miguu ya mbele, na huyo wa mbele wakamkata kiunoni......tehetehetehe!!!.
 

kwa kwa kwi kwi kwiiiiii!!!
Duh, mwana hiyo uliyotoa ndo haswa sayansi ya kufiksua imetumika)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…