Farhan jr: Yanga wanalipa gharama kubwa za kuwa kwenye ubora

Farhan jr: Yanga wanalipa gharama kubwa za kuwa kwenye ubora

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
🟢[emoji367] " Yanga wanalipa gharama kubwa za kuwa kwenye UBORA.

Akishinda goli chache lazima kuwe na mjadala kwakuwa watu hawajazoea hivyo.

Akishinda nyingi lazima pia watu watazame amechezaje?
Kwakuwa wamezoea mpira mzuri kutoka kwao.

Ila inafurahisha zaidi kama atashinda nyingi mjadala unahama, utasikia GSM anadhamini timu nyingi[emoji3]!
Akifunga chache shida, akifunga nyingi shida, akicheza hovyo shida na akicheza vizuri shida.

Pale juu pana upweke mkubwa sana, ubora una gharama kubwa sana za kulipa[emoji3]"

-Farhan Jr.
1713565655885.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Bila Kubebwa,Hakuna Yanga..!

Hawajawahi kuwa na Ubora zaidi ya Kubebwa na kuipandisha juu na Wachambuzi mchongo
 
Back
Top Bottom