Farhan: Yanga ni darasa la soka la Tanzania

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
FARHAN:YANGA NI DARASA LA MPIRA TANZANIA AIDHA UHAMASIKE AU UCHUKIE

“Mahusiano kati ya Yanga na vilabu ndio ambayo yamewapa mualiko Afrika Kusini, mahusiano ya Yanga na mawakala ndio ambayo yanawapa wachezaji bora kila wakati, mahusiano kati ya Yanga na vilabu pia ndio haya unaona wanasajili na hakuna kelele”

“Kwa misimu mitatu Yanga imefanya pre season yao Avic town na imewapa makombe ya Ligi , FA na fainali ya Shirikisho [ CAFCC] lakini sasa wamesogea Afrika Kusini kwa sababu ya mualiko hii inazidi kuwajenga “

“Yanga ni darasa la mpira wa Tanzania , machaguo ni mawili tu aidha uhamasike au uchukie”

Msimamo na uchambuzi wa Farhan Kihamu kuwahusu mabingwa mara 30 wa Ligi kuu soka Tanzania bara Yanga SC.
Je Kuna utata hapa??
1721328684391.jpg
 
Je Kuna utata hapa??View attachment 3046078
Hakika
 
Back
Top Bottom