Farhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee Warioba alikataa kata kata kujibu hoja nje ya mada na kumrudisha Farhia katika mada.
Hakika Mzee Warioba ameonyesha kuiva katika kunyoosha majadiliano na kwa hilo Farhia kuna jambo amejifunza na nadhani hatarudia kurukia rukia hoja ambazo ziko nje ya mada!