Tuwekee video clip basiFarhia Middle katika kipindi cha Dakika 45 ITV alikuwa anamuhoji Warioba kuhusu miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika mahojiano hayo Farhia alijitahidi sana kumuondoa katika hoja ya msingi na kujaribu kuingiza mambo ya katiba na mengine yaliyokuwa nje ya mada. Lakini Mzee Warioba alikataa kata kata kujibu hoja nje ya mada na kumrudisha Farhia katika mada.
Hakika Mzee Warioba ameonyesha kuiva katika kunyoosha majadiliano na kwa hilo Farhia kuna jambo amejifunza na nadhani hatarudia kurukia rukia hoja ambazo ziko nje ya mada!
Umeangalia lini kwa mara ya mwisho ITV?Yako wapi majadiliano? Sorry! Farhia ndio nani?
Ngoja nitafute bando!🤓🤓😁Tuwekee video clip basi
Basi hakuna haja ya kukufahamisha!Sikumbuki kwa kweli.
Hata nakumbuka basi! Mazingira yangu sio rafiki na TV.Umeangalia lini kwa mara ya mwisho ITV?
Tuwekee japo link tu kama ipo online.Ngoja nitafute bando!🤓🤓😁
NimepigaHuyo Dada ana miguu mizuri sana.
Kama inakuja, kama inakataa hivi.Nimepiga
Nje ya mada!Huyo Dada ana miguu mizuri sana.
Mzee kashusha hoja za nguvu hasaMadini ya wazee.