MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa nao tena", Farhia Middle.
"Wanawake nawatahadharisha kuwa kuweni makini sana kutoanzisha Mahusiano na Wanaume lopo lopo, hawana Vifua vya Kutunza Siri na wanaopenda kuhamahama na Kuzungumzia ya Watu hasa kule walikotoka au walikokuwa kwani hawa hata katika Mahusiano huja kuwa Baba wabaya na Hatari. Cha kushangaza Kutwa unawasema Watu ila Wao wanakunyamazia huoni kuwa umeshafanywa na unaonekana Mwendawazimu?", Aboubakary Sadick.
Chanzo: Radio One Kipindi Bora kabisa Ulimwenguni cha Mazungumzo ya Familia ambacho nitashangaa kusikia Great Thinkers wa hapa JamiiForums hamkisikilizi kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na dakika 30 mpaka Saa 4 Kamili kwani ni Kizuri na Kinaelimisha zaidi.
Tafadhali sana Dada yangu Farhia Middle na Mzee Kijana Mwenzangu Aboubakary Sadick hebu Kunyweni Soda popote mlipo hapo kwani Madongo yenu nina uhakika yameenda mahala pake.
Huku mpaka muda huu wa Saa 4 Temeke Stadium kumegoma Kufurika, Msukule wao unahaha na Coffee Man anataka kurejea France kwani MSG wanataka Kumkopa kama walivyozoea kuwakopa akina Mkwasa na Tambwe.