Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Huyo ni news anchor,inabidi asiwe tukunyema..awe na umbo la kuvutia..[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani kupangiana mwili uwe vipi Tena..!!!
kuna wengine wanapenda mizigo minene. kama wewe upendi basi.ila sisi wengine tanapenda wale waliojazia jazia neema za mnyaazmungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe pia punguza unene[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani kupangiana mwili uwe vipi Tena..!!!
Sawa
Ndio huyu?
Wewe lazima ni maswahiba na Shekhe Kipozeo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna wengine wanapenda mizigo minene. kama wewe upendi basi.ila sisi wengine tanapenda wale waliojazia jazia neema za mnyaazmungu.
Sent using Jamii Forums mobile app