Farhia Middle, tafadhali we mtoto wewe!

Kudoba wepo baaah

Senior Member
Joined
May 12, 2024
Posts
155
Reaction score
461
Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.

Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili.

Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli.

Muwe na usiku mnono!
 
Walijua kuwafanya watu watazame taarifa ya habari bila kupenda
 
Unapenda Nyash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…