Farid Maliki wa Azam na Geofrey Mwaishuya wa Yanga nani mkali?

mi ni shabiki wa yanga ila farid wa azam anaujua sana.
 
Mwashiuya ndio nani?

Ni dogo flani hivi kasajiliwana Yanga S.C msimu huu akitokea timu ya Kimondo, ambayo msimu uliopita ilicheza ligi daraja la kwanza, Tanzania Bara.
 
Mwashiuya mzuri lakin ametokea kwenye timu ambayo haina academy ila Farid amepitia kwenye academy pale Azam. Ila naamini Mwashiuya ana kipaji kikubwa xana.
 
Mwashiuya ana kipaji cha pekee. Hakikuhitaji Academy ili kidhihirike. Na kama akidumisha nidhamu ya mchezo, atafika mbali
 
Huyu Farid si ndo yule aliyekuwa akiwahenyesha Nigeria?? kama ndo yule amayefanana na Ozil ni balaa, namba yake haina mtu kwa sababu yake! yule dogo nilipokuwa naangalia mechi ya starz sikuamini! Kama ndiye ni zaidi ya Mwaishuya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…